• +255715776707
  • info@lamiriamschools.ac.tz
  • Morogoro, Tanzania
Uncategorized
Nafasi za Kujiunga na Shule ya Awali na Msingi.

Nafasi za Kujiunga na Shule ya Awali na Msingi.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Awali na Msingi ya La Miriam anapenda kutangaza nafasi ya kujiunga na shule ya awali na ya msingi kwa mwaka wa masomo wa 2022.